Mfahamu magawa panya ambaye ametunukiwa nishani ya dhahabu kwa ushujaa wake wakuweza kunusa vilipuzi kwa kiwango cha juu sana.
Katika maisha yake ya miaka nane panya huyu aliweza kunusa mabomu 100 ya ardhini na vilipuzi vingine vingi ambavyo havikulipuka nchini Cambodia.
Cambodia ilikuwa moja ya nchi ambayo imeshiriki kikamilifu katika vita vya dunia kwa hivyo moja ya athari kumbwa ambayo ipo hadi sasa ni vilipuzi vingi ambavyo vipo ardhini ambavyo vilifukiwa na havija tenguliwa.
Kulikuwa na haja ya kutafuta mbinu m'badala ya kutengua mabomu hayo bila ya kuhatarisha uhai wa Binadamu.Hapo ndipo shirika la Apopo ambalo limesajiliwa nchini Ubelgiji lilikuja na wazo la kumfunza panya ambaye anauwezo mkumbwa wa kunusa ilikuwasaidia kutengua vilipuzi hivyo.
Magawa akiwa amefunzwa kugundua kemikali ndani ya vilipuzi aliweza kusafisha zaidi ya mita za mraba 141,000,Sawa na viwanja ishirini vya mpira wa miguu.
Panya huyo alikuwa na uwezo wa kupekuwa uwanja wa ukumbwa wa kiwanja cha tenisi kwa muda wa Dakika 20 tu jambo ambalo lingewachukuwa binadamu wenye detector ya chuma siku tatu hadi nne.
Mnamo mwaka 2020 Magawa alitunikiwa medali ya dhahabu ya PDSA ambayo ni heshima ya juu zaidi kwa wanyama kwa kujitolea kwake kuokoa maisha ya watu wengi.Pia alikuwa panya wa kwanza kutunukiwa medali hiyo katika historia ya miaka 77 ya Shirika hilo.
Magawa alistaafu juni,2020 baada ya kupunguza kasi ya utendaji kazi kwa sababu ya uzee na baadaye kufariki mnamo tarehe 11 January mwaka 2022 ambapo alikuwa amefikisha umri wa miaka nane nikimnukuu mmoja wa wauguzi ambao walikuwa wakimuhudumia alisekuwa panya huyo alifariki kwa amani akiwa chini ya uangalizi wa madaktari.
By Dago Rajaab

Nakala nzuri sanaπ₯
ReplyDeleteThanks
Deleteπππ
ReplyDeleteThanks
DeleteNice piece
ReplyDeleteThanks
DeleteIko juuπ₯π₯π₯
ReplyDeleteThanks
DeleteAllahuma barik . It awesome
ReplyDeleteThanks
DeleteNice
ReplyDeleteThank you
DeleteInteresting ππ―
ReplyDeleteThanks
DeleteKazi safi
ReplyDeleteThanks
DeleteThis is a nice article
ReplyDeleteThanks
Deleteπππ
ReplyDeleteThanks
DeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteThanks
Deleteπ
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteThanks
DeleteA good article
ReplyDeleteThank you
DeleteAmazing ππ½πͺπ½
ReplyDeleteAsante sana kk
DeleteMagwayaaaaaaπ₯π₯π₯π₯π₯
ReplyDeleteπ₯π
DeleteMaguireeeeeeeeeπ₯π₯π₯
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteThanks
DeleteGood work
ReplyDeleteπππ
ReplyDeleteThanks
DeleteNice work
ReplyDeleteThanks
DeleteGood work
ReplyDeleteI appreciate
DeleteKazi Nzuri π
ReplyDeleteThanks
DeleteNyc
ReplyDeleteAkili Za Mjini
ReplyDeleteThanks
DeleteThanks
ReplyDeleteMoto sana
ReplyDeleteThanks
Delete