Picha Kwa Hisani ya Google
Tangu jadi halmashauri ya Bandari ya Mombasa imekuwa Fahari ya wakaazi wa mvita na pwani kwa ujumla kwa sababu imekuwa ikitoa fursa nyingi zikiwemo kuajiri maelfu ya wakaazi wa pwani na imekuwa ikitoa Fursa ya kuendesha shughuli za Uchukuzi zikiwemo biashara ya Usafirishaji wamizigo ambazo pia kivyake zimeajiri mamia ya watu ambao wanategemea bandari ili kuendesha maisha yao ya kila Uchao.
Picha Kwa Hisani ya Google
Kitendo hiki kilipelekea maelfu ya watu kupoteza ajira na kuzidi kuzorotesha uchumi wa wananchi wa pwani ambao walizalimika kuukumbatia Umaskini na Umaskini ukawa vazi Lao.
Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu tumeingia debeni na kupiga kura kilio chetu kikubwa kilikuwa kurudishwa kwa shughuli zote za Halmashauri ya bandari ndani ya Pwani iliziweze kuwafaidisha wazawa,Rais William Ruto aliinuka kidedea na kuamrisha mara moja shughuli zote kurejeshwa rasmi kwenye bandari ya mombasa.
Wakaazi walipongeza kwa hatua hii kwa sababu Ukiritimba wa S.G.R juu ya uchukuzi wa Mizigo umeharibu uchumi wa bandari ya Mombasa katika kipindi cha miaka mitatu ambapo maelfu ya wamiliki wa lori na madereva walipoteza maisha yao ambapo vituo vya kigeni vya kontena vilikosa manufaa na maelfu ya watu wanaofanya kazi katika uuzaji wa malori, vituo vya huduma ya mafuta, mitambo, wafanyabiashara wa vipuri waliachwa bila kazi.
Picha Kwa Hisani ya Google
By Dago Rajaab.



Nawe pia kongole kwa kazi njema ulioifanya
ReplyDeleteHongera kaka
Kiswahili kitukuzwe💪
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteWaah lugha uliyotumia mufti kabisa 😊
ReplyDeleteKaz njema
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteNice
ReplyDeleteImara kabisa
ReplyDeleteThis Mombasa and Mombasa is our Business
ReplyDeleteKongole kaka
ReplyDeleteNakala Safi 👌👌
ReplyDeleteGreat article 😊
ReplyDeleteKweli kabisaa
ReplyDeleteUmegonga ndipo ndugu
ReplyDeleteKongole kaka
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteSafii
ReplyDeleteNakala safi
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeletekazi safi
ReplyDeleteNakala safi
ReplyDelete🔥🔥🔥🔥💯
ReplyDeleteNyc
ReplyDeleteKazi Safi
ReplyDeleteUbarikiwe kwa kazi nzuri
ReplyDelete